KIWANDA CHA DAWA NA VIFAA TIBA NJOMBE KUOKOA BIL. 33 KILA MWAKA

Na Mwandishi wetu-Makambako Serikali itaokoa Bilioni 33 kwa mwaka kwa ajili ya ununuzi wa Dawa na Vifaa tiba  baada ya kukamilika kwa ujenzi wa  viwanda vya dawa na Vifaa tiba kinachojengwa   Mkoani Njombe.Hayo yamesemwa leo na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt.Dorothy Gwajima mara baada ya kutembelea kiwanda hicho kilichopo